Hivi kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wachezeshe makalio yao?

Nimeshindwa kuchangia vile umesema ni makalio, yangekuwa matako nina point zake.
 
Hawawezi chezesha vichwa vile hujitundika wigi hivyo wezere ndo best alternative
 
Inategemea hadhira ni jinsia gani mkuu. Kma asilimia kubwa ni wanaume, bas tegemea mitikisiko na mitetemeko kma ya Kagera kila kona. Ila kma wao kwa wao sio kiviiiile.
 
Wakuu hii kitu inanishangaza sana hivi ni kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wainame iname kwani style nyingine hamna ?

Huwa nashangaa sana ,hivi hii inasababishwa na nini?
Ashk majinuni
 
Alafu hua mi najiulizaga sana maswali nakosa majibu juu ya akina dada zetu, yaani wanapocheza mziki lazima waache maeneo ya viungo vyao wazi mfano mapaja nk, kwanini wasiwe na mavazi tu yakujistiri kama wanavyo vyaa wanaume hawaachi maeneo wazi
 
Wakuu hii kitu inanishangaza sana hivi ni kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wainame iname kwani style nyingine hamna ?

Huwa nashangaa sana ,hivi hii inasababishwa na nini?
Wape mbinu mbadala badala ya kulalamika
 
Ndio ilivyo mkuu. Hata wao wanashangaa kwa nini wanaume wanarushaga mateke wanapo cheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…