Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Hivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?
Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni
Wanataka kamserereko almaarufu miujizaHivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?
Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni
Ni kitu hatari sana kwa mke kuonyesha tabiya ya hiyo au heshima zaidi kwa kiongozi wa dini kuliko mume wake.Hivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?
Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni
Simple mathematics.....😊Ndiomaana wanaume wengi wanawamaind viongozi wa dini...🤣Hivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?
Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni
Mwingine huyu hapaImeandikwa kwenye Biblia 2Mambo ya nyakati 20: 20-30
Mwaminini Bwana Mungu ndivyo mtakavyothibitika na waaminini Manabii ndivyo mtafanikiwa...
Ukiona hivyo ujue umemwolea Yesu Mume wa Wajane nawe unahesabika kama mfu katika ndoa. Kamata Mchungaji tia Makofi atamfukuxa mkeo kanisani Mtaishi maisha Mema.Hivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?
Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni