Embe, Chungwa, Papai kwa pamoja ni MatundaWaganga wa Kienyeji/Maustadhi wa visomo na Wachungaji/Manabii wanaaminiwa sana na wanawake.
Acha kutafsiri vibaya hivi unajua nafasi ya mume ni kubwa kwa mke kuliko hata huyo unasema nabiiImeandikwa kwenye Biblia 2Mambo ya nyakati 20: 20-30
Mwaminini Bwana Mungu ndivyo mtakavyothibitika na waaminini Manabii ndivyo mtafanikiwa...
Kila mtu ananafasi yake, kinachotakiwa ni mwanamke kujua majukumu yake kwa kumtumikia Mungu, Mtumishi na mume...Acha kutafsiri vibaya hivi unajua nafasi ya mume ni kubwa kwa mke kuliko hata huyo unasema nabii
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapa kuna kaukweli fulani hivi japo sio rahisi kukaelewa.Wanawake kizamani wanavutiwa na mamlaka.
So nahisi ile wanaongeaga 'BWANA AKASEMAA, TOKAA..... UENDE NCHI YA MBAAAAAALI🗣.SIMAMAA ASEMA BWANA WA MAJESHI💪🗣🗣' Basi wanajiskia kutii zaidi..
Sasa akirudi home na hizo 'bebii, unajuaa......' anakuwa threshold ishaparanganyika huko haelewi kitu.
Nadharia yangu hii mazee.
Ni baba zetu wa kiroho.Hivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?
Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni
Lugha za kifeminist hizo. Wala haziapply katika maisha halisia.Kwa sababu wachungaji wanawapatia hao wanawake muda mwingi kuliko wewe mume wake
Acha kupotosha Maandiko. Jifunze kuapply maandiko kwa kuangalia na kuoanisha muktadha husika. Haya Maandiko uliyonukuu, Mfalme Yehoshafati alikuwa anawatia moyo wanajeshi wake walipokuwa wanakwenda vitani baada ya kupata assurance kwa manabii kuwa watashinda.Imeandikwa kwenye Biblia 2Mambo ya nyakati 20: 20-30
Mwaminini Bwana Mungu ndivyo mtakavyothibitika na waaminini Manabii ndivyo mtafanikiwa...
mchungaji anayeweza kukaa na mke wa mtu pasipo muwe wa mwanamke huyo au mke wa mchungaji kuwepo, ujue mchungaji huyu ni malaya tu.Kwa sababu wachungaji wanawapatia hao wanawake muda mwingi kuliko wewe mume wake
Labda walipochinja kuku sikua nyumbani..na hata nikiwa sipo nikingundua lilipokwenda bas litaletwa kwa namna yoyote hata kwa kulitapika ebo.Mchungaji anapelekewa paja la kuku we unabakiziwa miguu!