WANAWAKE zaidi ya million 5 wamechanganyikiwa na jangili na muuaji hapa USA .Ndio mkaka mzuri lakini du hizo tabia zake sio mchezo .Ila tweeter tmz na Facebook Yaani WANAWAKE hoi hoi .hivi ni kwa nini haswa Mwanaume asiekua na Hili wala lile ndio WANAWAKE wanamfuata na wanaume wenye elimu waliotulia na kufuata Sheria wanakimbiwa na WANAWAKE ?.