Hivi kuvutiwa na kupenda sio tofauti?
halafu mkaka mwenyewe mbaya, macho kama ya paka! Kushoboka tu mtandaoni.
Genetically????!!!Mwanamme mwenye macho ya paka natural bila kuwekewa lens ndiyo chaguo kubwa la madada wa USA,Canada na Ulaya Magharibi!This is a fact and has been proven genetically!!
Genetically????!!!
Hebu jazia nyama hapo!!!!!
Ni kwa mujibu wa research iliyofanywa na Prof Joana Rowe from University of Louisville-Kentucky!
Msome kwa ku google "Are blue-eyed boys and girls more brilliant?"
Huyo jamaa ni jeremy meeks sio?WANAWAKE zaidi ya million 5 wamechanganyikiwa na jangili na muuaji hapa USA .Ndio mkaka mzuri lakini du hizo tabia zake sio mchezo .Ila tweeter tmz na Facebook Yaani WANAWAKE hoi hoi .hivi ni kwa nini haswa Mwanaume asiekua na Hili wala lile ndio WANAWAKE wanamfuata na wanaume wenye elimu waliotulia na kufuata Sheria wanakimbiwa na WANAWAKE ?.
Naammwanaume mpole ana aibu sana na anajali future yake ya baadae ndo mana haweki namna zitakazomfanya apapatikiwe
Wanayaita hunter eyesMwanamme mwenye macho ya paka natural bila kuwekewa lens ndiyo chaguo kubwa la madada wa USA,Canada na Ulaya Magharibi!This is a fact and has been proven genetically!!