Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

Ina maana wanawake wengi wanapenda Magovi !!maana wasukuma wengi ni magovi......
 
Wasukuma wakiongea lafudhi yao ni kama watu waungwana,na wapole,wenye huruma sana. Sasa mwanamke anahitaji nini zaidi ya hayo?
 
acha ujinga ww!!si ungewauliza hao waliokwambia wanawapenda?.............kama huna chakusema toka humu ndani haraka tena!!!!!!
 
acha ujinga ww!!si ungewauliza hao waliokwambia wanawapenda?.............kama huna chakusema toka humu ndani haraka tena!!!!!!

usiwe na hasira kama mvuta bangi
usiwe na wivu kama muuza nyanya
usiwe na matusi kama teja
usifikirie kama kichaa
usikurupuke kama kunguru
usivamie kama jambazi
usiropoke kama chizi
 
Wanaume wa kisukumu ni yes-men! Hawakatai chochote kutoka kwa wapenzi wao. Chochote anachokisema mwanamke ni lazima atakifanya. Kwa lugha want!!

Wala usijidanganye hvo,!hakuna mwanaume wa kisukuma ***** wanapretend tu maana wanajua watu wanavowaongelea
 
Inawezekana mtoa hoja ana mwanamke ambaye anamkosesha raha kwa sababu ya uhusiano wake wa pembeni na mwanaume mwingine ambae ametokea kuwa msukuma. Pengine mwanaume huyo angekuwa mhehe ungeuliza kwanini wanawake wengi wanapenda 'wahehe'. Kama nipo sahihi, ni bora tumsaidie zaidi katika kumwelezea wanaume wa kisukuma kulikoni? Na mtoa hoja ataje kabila lake tulijue, pengine tune tips ambazo hazijui kuhusu yeye binafsi. Mfano labda kabila lake halitairi, n.k. Huu ni mfano tu.
 
Ha ha ha, ulisoma enzi za Malale?

Nakumbuka sana pale na mambo ya mijara, ulinzi wa usiku mle ndani ilikuwa ni wakurya, anakukumbiza lakini akikufikia karibu anataka uongeze mwendo ili akupige mtama sehemu nzuri.

Jmushi1,

Nimesoma enzi za malale, ulinzi kama kawa. Kumbe na wewe ni mwana MTS? Karibu kwenye fb tuna MTS FAMILY Group tunakumbushana mambo ya enzi zileee!
 
poa ngoja:-
wanapenda wasukuma kwa sababu
1. Wanajua mambo ya 6x6
2. Wachapa kazi
3. Wanajari
4. Wakarimu
5. Wananguvu kwa sababu wanakula ugali mgumu (hawali chips)
6.wanamapenzi ya dhati.
7. Sio wachoyo
8. Ni wawazi
9. Siyo masharobaro

10. Wana govi, hivyo wanaweza kuzalisha unga na kamwe hutokosa unga wa ugali, kwani mb....zao zinatoa unga.
 
nasikia wanapenda migovi yao. Si unajua wasukuma hawatairi.

bado unafikiria enzi za tanganyika kipindikile hapakuwepo na hospital za kutosha, elimu kiducho watanganyika wengi walikuwa na magovi ukiwemo na wewe maana unaoneka ni mzee wa enzi hizo . Now day no kind of that human hata kwa wasukuma vijana wanatahiliwa wakiwa wadogo upo hapo mzee
 
ahsante kwa kuniita mbuzi lkn ukweli uko wazi kwamba wasukuma hawatahiriwi?

kama wewe ni mzee wa enzi za sabuni za mpapai inaweza kuwa sawa kwa fikira zako
 
we mbuzi kabisa wana govu walishakulala

mimi nimesoma na wasukuma o-level na a-level. Pia nimeishi usukumani kipindi kirefu sana tena nikiwa na umri wa ujana kama wako. Na ktk kipindi hicho pesa zilikuwepo na ujana basi usiseme. Kwani ni kipindi nilichofanya dhambi ya uzinzi kuliko kipindi chote maishani na wanawake wa kisukuma, kinyamwezi na kisumbwa. Lkn namshukuru mungu alinipa uelewa na kwasasa nimeachana na hiyo biashara. Kiila nilipokutana nao hao wasichana wa kisukuma walikuwa wanafurahi sana wakisema wasukuma wenzao wana magovi, hivyo hata raha hawapati vizuri na wanaishia kupenda kufanya mapenzi kwenye giza au kujifichaficha kwasababu wana magovi. Wale wanaotahiriwa labda wawe wameamua kuchukua hatua wenyewe.

Nb: Hata mkinitukana endeleeni tu lkn ukweli wa kutotahiriwa hata nyie wasukuma mnaujua. Wasukuma wanaweza kuwa wanapendwa kwasababu tu ni watu wa ndiyo mpenzi, na si zaidi ya hapo. Toka lini msukuma wa utemini akajua mapenzi wewe? Mbona wasichana wao walikuwa wanawakimbia kuja kwetu?

Wasukuma wako tayari kutoa kila kitu hasa kwa wanawake weupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…