bado unafikiria enzi za tanganyika kipindikile hapakuwepo na hospital za kutosha, elimu kiducho watanganyika wengi walikuwa na magovi ukiwemo na wewe maana unaoneka ni mzee wa enzi hizo . Now day no kind of that human hata kwa wasukuma vijana wanatahiliwa wakiwa wadogo upo hapo mzee
mimi nimesoma na wasukuma o-level na a-level. Pia nimeishi usukumani kipindi kirefu sana tena nikiwa na umri wa ujana kama wako. Na ktk kipindi hicho pesa zilikuwepo na ujana basi usiseme. Kwani ni kipindi nilichofanya dhambi ya uzinzi kuliko kipindi chote maishani na wanawake wa kisukuma, kinyamwezi na kisumbwa. Lkn namshukuru mungu alinipa uelewa na kwasasa nimeachana na hiyo biashara. Kiila nilipokutana nao hao wasichana wa kisukuma walikuwa wanafurahi sana wakisema wasukuma wenzao wana magovi, hivyo hata raha hawapati vizuri na wanaishia kupenda kufanya mapenzi kwenye giza au kujifichaficha kwasababu wana magovi. Wale wanaotahiriwa labda wawe wameamua kuchukua hatua wenyewe.
Nb: Hata mkinitukana endeleeni tu lkn ukweli wa kutotahiriwa hata nyie wasukuma mnaujua. Wasukuma wanaweza kuwa wanapendwa kwasababu tu ni watu wa ndiyo mpenzi, na si zaidi ya hapo. Toka lini msukuma wa utemini akajua mapenzi wewe? Mbona wasichana wao walikuwa wanawakimbia kuja kwetu?
Wasukuma wako tayari kutoa kila kitu hasa kwa wanawake weupe.
Mwambie huyo mbona ana hasila au na yeye ni GOVINDA?ok kumbe wewe ni msuku ila tatizo unagovi kwa hiyo usihukumu na wenzako wakati ni tatizo lako binafisi
siyo zamani sana kama unavyofikiria. Ni miaka ya 1995 - 2002. Labda ndani ya miaka hii kama wamechangamka kutahiri, then hiyo ni habari njema sana. Ndugu zangu wasukuma tuliosoma nao Tarime Secondary mwaka 1995 -1998 walipata shida sana hasa maji yalipokuwa yamekatika kwenye mabomba na hivyo kulazimika kwenda mtoni kuoga. Kwani mwaka huo ni wengi sana Form 1 tulitolewa sehemu mbalimbali kwenda kujiunga Tarime secondary,na kule ni kwa Wakurya (muulize Mwita Maranya atakuambia shida waliyokuwa wanakumbana nayo MRISHIA). Ndiyo maana nakuambia walipata shida sana na mwishoni kuna baadhi yao waliamua kutahiri ili kuondokana na adha ya MKONO WA SWETA. Hatahivyo, mwamko haukuwa mkubwa sana. Na kama sasa wana mwamko hata kwa watoto, then hiyo ni habari njema na Hongereni sana, kwani kutembea na MASHINE YA UNGA a.k.a MKONO WA SWETA ni jambo la aibu sana na la uchafu.
kama enzi hizo bwana rdi ni sawa lakini sikuhizi hadi wazee wanatahiri wamechangamuka kweli
ahsante kwa kuniita mbuzi lkn ukweli uko wazi kwamba wasukuma hawatahiriwi?
Inaongeza ladha
Tena akina wanawake utawasikia kwenye pale Mwenge wakioshwa miguu wakisema. "Jamani sijawahi kukutana na mwanaume anayejua kutoa raha kwa mwanaume kamaniliye kutana naye jana" wapili atasema "atakuwa Msukuma huyo"
Asante!Wasukuma watamu. Lol.
hao wanawake uliokutana nao wewe ni wa wapi....?
ninavyojua mimi.....wanawake wengi tunapenda wanaume wa kisandawe.......
ndo raha yao hasa
vipisi vya sigara vya nini?
Asante!
hongereni kaka zangu mmebarikiwa kwa mambo mengi
That's a good way of ending the discussion....!!
Really dearest? there is something wrong somewhere....will let you know what it is.....!!