JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,487
- 2,599
Watu kama wewe ndiyo tatizo. Nasema hivi kwa sababu wewe unadhani wapinzani tu ndiyo wenye jukumu la ku-support na kuleta mabadiliko. Hii ndiyo njia inayotumiwa na CCM kugawa watu. Sahihi ungeuliza: mbona wananchi kwa umoja wetu hatu-support hawa wasanii na kuwakataa hao wa CCM? Mtu kama Diamond anabeza na kutukana wananchi kwa umaskini wao lakini bado hao hao maskini ndiyo wanakimbilia nyimbo zake na kumpa support. Jibu ni kuwa watu wengi hawajitambui.Ni swali tu nauliza, Mara nyingi sana wapinzani wanalaumu wasanii kuwa upande wa CCM ambao ni watesi wao lakini hao wasanii ndio wanapewa attention kubwa sana wakipost chochote kwenye mitandao yao wanawapa sapoti.
Ishu ni kwamba wale wasanii ambao wanawaunga Mkono mfano kina nay wa mitego, Roma,Rosa Ree yaani wala Wapinzani hawana Muda nao.
Mfano tu juzi kati hapa zimepita wiki mbli Rosaa Ree ameachia wimbo wake sauti za masikini
View: https://youtu.be/KsfSgqQJH3c?t=4 lakini hadi sasa una viewers 56k tu. sasa hao watesi wameachia nyimbo kwa muda huo huo wana viewers 1M+ JE Kwanini wanaowaunga mkono musiwasapoti?
Musipowapa sapoti njaa zikizidi si wataona waungane na mboga mboga? basi sasa inabidi wapinzani wabadilike kwa kweli tumsapoti hata huyu dada jasiri Rosa ree link yake hii hapa
View: https://youtu.be/KsfSgqQJH3c?t=4 na nyingine pia tusapoti
Kila mtu anafanya kwa nafasi yake kwaajili ya taifa, sidhani kama hao wasanii wanafanya kwaajili ya chama au jumuia ya upinzani, wanatoa mchango wao wa mawazo kwa njia ya sanaa kwa taifa lao.Ishu ni kwamba wale wasanii ambao wanawaunga Mkono mfano kina nay wa mitego, Roma,Rosa Ree yaani wala Wapinzani hawana Muda nao.
sawa sahihi kbisaWatu kama wewe ndiyo tatizo. Nasema hivi kwa sababu wewe unadhani wapinzani tu ndiyo wenye jukumu la ku-support na kuleta mabadiliko. Hii ndiyo njia inayotumiwa na CCM kugawa watu. Sahihi ungeuliza: mbona wananchi kwa umoja wetu hatu-support hawa wasanii na kuwakataa hao wa CCM? Mtu kama Diamond anabeza na kutukana wananchi kwa umaskini wao lakini bado hao hao maskini ndiyo wanakimbilia nyimbo zake na kumpa support. Jibu ni kuwa watu wengi hawajitambui.
swali ni kwanini hawapewi sapoti? wale wanaowabeza na kuwatukana ndio wanawaunga mkono zaidiKila mtu anafanya kwa nafasi yake kwaajili ya taifa, sidhani kama hao wasanii wanafanya kwaajili ya chama au jumuia ya upinzani, wanatoa mchango wao wa mawazo kwa njia ya sanaa kwa taifa lao.
Huitaji kuwa na chama cha siasa kukosoa, kupongeza, na kuelekeza taifa liendelee.
Nani hawapi sapoti? Kuna mahali wamelalamika? Unaona sapoti anayopewa Polepole na upinzani sasa hivi, unadhani kwanini chama chake kiko kimya?swali ni kwanini hawapewi sapoti? wale wanaowabeza na kuwatukana ndio wanawaunga mkono zaidi
Tanzania hakuna chama cha upinzani ila upinzani upo hiyo ndiyo sababu ..Ni swali tu nauliza, Mara nyingi sana wapinzani wanalaumu wasanii kuwa upande wa CCM ambao ni watesi wao lakini hao wasanii ndio wanapewa attention kubwa sana wakipost chochote kwenye mitandao yao wanawapa sapoti.
Ishu ni kwamba wale wasanii ambao wanawaunga Mkono mfano kina nay wa mitego, Roma,Rosa Ree yaani wala Wapinzani hawana Muda nao.
Mfano tu juzi kati hapa zimepita wiki mbli Rosaa Ree ameachia wimbo wake sauti za masikini
View: https://youtu.be/KsfSgqQJH3c?t=4 lakini hadi sasa una viewers 56k tu. sasa hao watesi wameachia nyimbo kwa muda huo huo wana viewers 1M+ JE Kwanini wanaowaunga mkono musiwasapoti?
Musipowapa sapoti njaa zikizidi si wataona waungane na mboga mboga? basi sasa inabidi wapinzani wabadilike kwa kweli tumsapoti hata huyu dada jasiri Rosa ree link yake hii hapa
View: https://youtu.be/KsfSgqQJH3c?t=4 na nyingine pia tusapoti
Nani hawapi sapoti, nani anawatukana?swali ni kwanini hawapewi sapoti? wale wanaowabeza na kuwatukana ndio wanawaunga mkono zaidi