Hivi kwanini wasichana wanawahi kusex kuliko wavulana?

kosa nai la kwao hao wasichana wadogo,,wangekuwa wanavaa nguo za kustili miili yao vizuri akuna m2 angewatamaini na kuwashawishi ika siku hizi wanavaaa vikondomu unategemea nini ni kukamata na kuchinja kama kuku
 
Kwani wavulana hawashawiki na mashuga mamy?
Mi nadhani ni tabia tu ya wasichana kupenda vikubwa. Ukichunguza utakundua girls hawapendi guys wanaolingana in any means eg. Age, education, money,etc. This habit is a reason.

Kama mtoa mada alivosema, wavulana wengi hadi 22. Wakati mabinti wanaanza very far below that. Hivo ma sugar mummy wanakuja after 22 kwani wanaamini below that wataambulia vibam..ia!
 

Men do beleive that young girls even below 16 are safe and still virgins and this is what they go for (tightness). Women do (most) look for well endowed men hence going for men older than them. This's why it's very rare to find age mates in sex relations (especially teenagers).
 
ukweli ni kwamba wasichana WANABAKWA. Ni sawa na kuuliza kwa nini maembe yanaliwa bado machanga, huku nanasi ni hadi likomae.
 
jibu maswali haya:-
1)wewe ulianza na umri gani kusex?
2) ulifanya na mtu wa umri gani?
3)nini kilikusababisha hadi ukasex?
4) wewe ni ke/me
 
Mi nafikiri wanaume ndio wanawahi maana wanaume wengi hawana uoga wa kujaribu jaribu mambo mapya. Lol
 
ufuska tu, wanaume wanaanza kujua ufuska na hiyo 22, then wanaanza kufukuzia vi 16....routine inajirudia..we unafikiri eti wanaanzaa mapema, kuchelewa kwa wanaume kuanza ndo kunawafanya wanawake waanza mapema dot
 
jibu maswali haya:-
1)wewe ulianza na umri gani kusex?
2) ulifanya na mtu wa umri gani?
3)nini kilikusababisha hadi ukasex?
4) wewe ni ke/me
Mkuu ingekuwa vizuri ungeanza wewe kutuambia kwanza then wengine tutafuata.
 
Mi nafikiri wanaume ndio wanawahi maana wanaume wengi hawana uoga wa kujaribu jaribu mambo mapya. Lol

Unao uhakika ? Kama ndiyo toa walau mfano mmoja, naona kama unabahatisha hivi.
 
eti wanaume miaka 22??? Housegirl alikua wapi?
 
ufuska tu, wanaume wanaanza kujua ufuska na hiyo 22, then wanaanza kufukuzia vi 16....routine inajirudia..we unafikiri eti wanaanzaa mapema, kuchelewa kwa wanaume kuanza ndo kunawafanya wanawake waanza mapema dot
You're soundin quite right.
 
itching inayotokana na mikojo inawachangia kutafuta mkuno
[h=3] [/h]
 
Kuna mambo kadhaa hapa,kwanza wavulana wengi huwa wamefulia hata posho za kuwa magal hawana na hata za kulipa guest kwa ajili ya ku do na sie watoto wa kike huwa hawana,pili,sie watoto wa kike tukianza kubalehe chuchu zikasimama kila mwanaume huwa anashawishi awe wa kwanza kubikiri kabla hajawahiwa na wengine,ila so fresh hivyo pounguzeni umalaya
 
Hapo ndio ujiulize kwa nini sheria ya ndoa Tanzania inaruhusu binti wa miaka 15 kuolewa.
Pili,huyo mvulana aliemaliza kidato cha sita kama anajitambua hawezi kumrubuni mtu wa age yake coz tayari atakuwa occupied hivyo atamfuata under 18 hata ikitokea akampa mimba basi wanaweza ku-match but mtu wa age yake atamzeekea.
Afterall,mtoto wa kike akivunja ungo na kuota chuchu anavutia hakuna mfano si unajua "kipya kinyemi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…