my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Ati hamisa mobetto ameenda US basi wako wana mshangilia ati a meenda marekani 😂 yani watanzania ni watu wa ajabu huwa wako proud na vitu vya ajabu kama walivyo wenyewe 😂😂 watu wasiowahi kusafiri na kupanda ndege utawajuwa tu