Hivi kwanini watanzania ni washamba?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Ati hamisa mobetto ameenda US basi wako wana mshangilia ati a meenda marekani πŸ˜‚ yani watanzania ni watu wa ajabu huwa wako proud na vitu vya ajabu kama walivyo wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚ watu wasiowahi kusafiri na kupanda ndege utawajuwa tu
 
Wajinga siku zote hurithi Upumbavu.

Hili Taifa lina Wajinga Wengi mno kama mchanga wa Pwani na Wapumbavu.

Bila kusahau kila Watanzania Wanne kuna mgonjwa wa akili mmoja"Kichaa"

Akili ndogo Muda Mwingi hujadili Watu,Umbea Majungu na Fitna.
 
Wewe mwenyewe lazima utakuwa na ukichaa kama sio ungepita taratibu kimya kimya kupitia tu celebrities forum unaonesha na wewe mbeya unampenda kujadili watu
 
Mjinga anapokosolewa huchukia.
Kwani kuna mtu amechukia? Au wewe ndio umechukia baada ya kuambiwa ukweli πŸ˜‚πŸ˜‚ siku nyingine ukuwe makini na unachoongea maana unajitia aibuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ati hamisa mobetto ameenda US basi wako wana mshangilia ati a meenda marekani πŸ˜‚ yani watanzania ni watu wa ajabu huwa wako proud na vitu vya ajabu kama walivyo wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚ watu wasiowahi kusafiri na kupanda ndege utawajuwa tu
Hata wa america na wao hufurahi wakija kutalii africa.
 
Ati hamisa mobetto ameenda US basi wako wana mshangilia ati a meenda marekani [emoji23] yani watanzania ni watu wa ajabu huwa wako proud na vitu vya ajabu kama walivyo wenyewe [emoji23][emoji23] watu wasiowahi kusafiri na kupanda ndege utawajuwa tu
Ndugu zako tunakuchora tu unavyotuita washamba.
Ipo siku tu utarudi huku ushambani.
 
Wajinga siku zote hurithi Upumbavu.

Hili Taifa lina Wajinga Wengi mno kama mchanga wa Pwani na Wapumbavu.

Bila kusahau kila Watanzania Wanne kuna mgonjwa wa akili mmoja"Kichaa"

Akili ndogo Muda Mwingi hujadili Watu,Umbea Majungu na Fitna.
Aisee hili neno "mchanga wa pwani nawapumbavu" unamaanisha nin?
 
Hushangai Rais mmoja aliwahi kusifia muhogo wa Jamaica, sisi ni nani tusishangilie Hamisa kututoa kimasomaso kwenda Marekani kila wikiendi[emoji16][emoji56]
 
Ati hamisa mobetto ameenda US basi wako wana mshangilia ati a meenda marekani [emoji23] yani watanzania ni watu wa ajabu huwa wako proud na vitu vya ajabu kama walivyo wenyewe [emoji23][emoji23] watu wasiowahi kusafiri na kupanda ndege utawajuwa tu
umemaliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…