Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali?

Alphani R Joseph

New Member
Joined
May 6, 2024
Posts
4
Reaction score
0
Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali?

Hivi hatuwezi kuitumia japo hii fursa ya amani kufanya mambo makubwa?

Ukiangalia kongo, Sudan na baadhi ya nchi za Afrika na dunia kiujumla wanatamni sana. Nchi zao japo kidogo zimantain tuu amani. Waweze kufanya mambo mengine.

Ila hii sishangai kila mtu alieshindwa huwa hakosi pa kupelekea lawama zake zilizomfanya ashindwe.

Maneno ya wakosaji.
 
Unashauri fursa ya amani itumike kufanya mambo makubwa kama yapi ili hali mambo madogo madogo tu ni kizungumkuti?????? 🤒😎
 
Amani tunaitaka sana ila inaumiza sana tunalipa kodi kandamizi hasa sisi wananchi lakini kodi zetu zinatumika ovyo na wachache mfano mdogo mmiliki singida big stars anatoa wapi pesa izo?
 
Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali?

Hivi hatuwezi kuitumia japo hii fursa ya amani kufanya mambo makubwa?

Ukiangalia kongo, Sudan na baadhi ya nchi za Afrika na dunia kiujumla wanatamni sana. Nchi zao japo kidogo zimantain tuu amani. Waweze kufanya mambo mengine.

Ila hii sishangai kila mtu alieshindwa huwa hakosi pa kupelekea lawama zake zilizomfanya ashindwe.

Maneno ya wakosaji.
Mjinga wewe!
 
Hapo unashangaa kipi sasa?Chama kikiwa katika kampeni hutoa ahadi nzuri na nyingi kwa wananchi kwamba kitafanya hivi au vile kikishika dola.Na ahadi huwa haziishi hivyo.Huwa hadi wanapiga magoti,kulia sana na kuomba/kuomboleza wachaguliwe kwa ahadi za kufanya mema tupu tena kwa muda mfupi.Kwa maneno na vitendo hivyo,wakishindwa kufanya waliyoyaahidi wananchi wataachaje kuwalaumu?
NB;Kazi ya chama kilichopo madarakani kwa kuitumia miundo ya uongozi setikalini,kazi yao kubwa ni kuyafanya maisha ya wananchi yawe mepesi na burudani zaidi.
 
Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali?

Hivi hatuwezi kuitumia japo hii fursa ya amani kufanya mambo makubwa?

Ukiangalia kongo, Sudan na baadhi ya nchi za Afrika na dunia kiujumla wanatamni sana. Nchi zao japo kidogo zimantain tuu amani. Waweze kufanya mambo mengine.

Ila hii sishangai kila mtu alieshindwa huwa hakosi pa kupelekea lawama zake zilizomfanya ashindwe.

Maneno ya wakosaji.
Comments reserved
 
Sio lawama tu. Hata pongezi zote huwa ni kwa serikali na haijawahi kukataa au kuonesha kutokubali. Mvua ikinyesha tunaipongeza serikali. Mtu akifanikiwa kuoa au kuolewa anaipongeza serikali. Mwanafunzi akifaulu masomo yake anaishukuru serikali, sasa kwanini kwenye mabaya wasiilalamikie?
 
DRC yenye vita ni kaeneo kadogo tu,kule Kinshasa watu hawajui hata milio ya risasi ipoje
 
Sio lawama tu. Hata pongezi zote huwa ni kwa serikali na haijawahi kukataa au kuonesha kutokubali. Mvua ikinyesha tunaipongeza serikali. Mtu akifanikiwa kuoa au kuolewa anaipongeza serikali. Mwanafunzi akifaulu masomo yake anaishukuru serikali, sasa kwanini kwenye mabaya wasiilalamikie?
Kwani serikali ni nani nijuavyo Mimi serikali ni Mimi na wewe hao viongozi tumewapa dhamana tu wakizingua tunawaondoa
 
Back
Top Bottom