Alphani R Joseph
New Member
- May 6, 2024
- 4
- 0
Ni mambo ya hovyo haswaUnashauri fursa ya amani itumike kufanya mambo makubwa kama yapi ili hali mambo madogo madogo tu ni kizungumkuti?????? 🤒😎
Mjinga wewe!Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali?
Hivi hatuwezi kuitumia japo hii fursa ya amani kufanya mambo makubwa?
Ukiangalia kongo, Sudan na baadhi ya nchi za Afrika na dunia kiujumla wanatamni sana. Nchi zao japo kidogo zimantain tuu amani. Waweze kufanya mambo mengine.
Ila hii sishangai kila mtu alieshindwa huwa hakosi pa kupelekea lawama zake zilizomfanya ashindwe.
Maneno ya wakosaji.
Wanachojua ni kusifia for nothing tu.Ni mambo ya hovyo haswa
System imejaa majangili tupuWanachojua ni kusifia for nothing tu.
Comments reservedHivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali?
Hivi hatuwezi kuitumia japo hii fursa ya amani kufanya mambo makubwa?
Ukiangalia kongo, Sudan na baadhi ya nchi za Afrika na dunia kiujumla wanatamni sana. Nchi zao japo kidogo zimantain tuu amani. Waweze kufanya mambo mengine.
Ila hii sishangai kila mtu alieshindwa huwa hakosi pa kupelekea lawama zake zilizomfanya ashindwe.
Maneno ya wakosaji.
Sio lawama tu. Hata pongezi zote huwa ni kwa serikali na haijawahi kukataa au kuonesha kutokubali. Mvua ikinyesha tunaipongeza serikali. Mtu akifanikiwa kuoa au kuolewa anaipongeza serikali. Mwanafunzi akifaulu masomo yake anaishukuru serikali, sasa kwanini kwenye mabaya wasiilalamikie?Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali?
Hivi hatuwezi kuitumia japo hii fursa ya amani kufanya mambo makubwa?
Ukiangalia kongo, Sudan na baadhi ya nchi za Afrika na dunia kiujumla wanatamni sana. Nchi zao japo kidogo zimantain tuu amani. Waweze kufanya mambo mengine.
Ila hii sishangai kila mtu alieshindwa huwa hakosi pa kupelekea lawama zake zilizomfanya ashindwe.
Maneno ya wakosaji.
Kwani serikali ni nani nijuavyo Mimi serikali ni Mimi na wewe hao viongozi tumewapa dhamana tu wakizingua tunawaondoaSio lawama tu. Hata pongezi zote huwa ni kwa serikali na haijawahi kukataa au kuonesha kutokubali. Mvua ikinyesha tunaipongeza serikali. Mtu akifanikiwa kuoa au kuolewa anaipongeza serikali. Mwanafunzi akifaulu masomo yake anaishukuru serikali, sasa kwanini kwenye mabaya wasiilalamikie?