Hivi kwanini watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana?

Hivi kwanini watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana?

Granted Faith

Member
Joined
Jul 4, 2021
Posts
57
Reaction score
292
Watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana Wabinafsi mnoo kupita maelezo kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya isee watu walionyimwa mwili ni watu tofauti sana wana roho za ajabu sana yani sio Wivu, Chuki, Roho Mbaya, Wabinafsi, Wambea na wachonganishi
 
Ngoja nianze kuwafuatilia ili kujua tabia zao!
Nalog off
 
Toa mifano halisi

Saa mbaya
Kondactors
Nk
 
Tafiti hii inawalakini,wembamba wa kuzaliwa nao(,asili)!au wembamba wa vipi yaani?
 
Tabia ya Mtu haina uhusiano na umbo lake hata kidogo, Watu ni wazuri ukiwatazama, Lakini waliyoyabeba katika nafsi zao wanayajua wao wenyewe na aliyewaumba, pamoja na hayo hakuna na hakuna aliye mkamilifu kwenye uso wa ardhi.Ukiwa na huruma usifikiri watu wengine watakuonea huruma HAPANA.
 
Watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana Wabinafsi mnoo kupita maelezo kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya isee watu walionyimwa mwili ni watu tofauti sana wana roho za ajabu sana yani sio Wivu, Chuki, Roho Mbaya, Wabinafsi, Wambea na wachonganishi
Shakespear kwenye Mchezo wa Julius Ceasar aliandika hivi.

Let me have men about me that are fat,
Sleek-headed men and such as sleep a-nights.
Yond Cassius has a lean and hungry look,
He thinks too much; such men are dangerous.
 
Fatuma karume

Mange kimambi

Ukioa kimwanamke mbaumbau utajuta maisha yako ,roho mbaya inawafanya wachukie ya wengine na kujaza chuki muda wote wanachuki Sana

USSR
 
Watakupinga ila kuna ukweli ndani yake, watu wembamba wengi wao wana sifa hizo....
Nasikia eti kwakua mioyo sijui iko karibu na mifupa 😁
Sio kweli mkuu hata chembe,ukatili wa mtu uko moyoni mwakemaumbile hayana uhusiano kabisa,Hii ni dhana tuu ya kufikirika kama ile ya watu wafupi kuwa ni wabishi!
 
Watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana Wabinafsi mnoo kupita maelezo kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya isee watu walionyimwa mwili ni watu tofauti sana wana roho za ajabu sana yani sio Wivu, Chuki, Roho Mbaya, Wabinafsi, Wambea na wachonganishi
Kuna mfumo ambao ndiyo kanuni kwamba kila kiumbe hanyimwi vyote.

Hapo wewe umesema walionyimwa mwili,
Je walionyimwa mwili wakapewa ama wakajaaliwa nini tuanzie hapo kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uhusiano wowote Kati ya kukosa mwili na roho mbaya...mtu anaweza kuwa mwembamba mwezi huu baada ya miezi miwili akanenepa...na baade akakonda na kuwa mwembamba tena. Sasa hapo utasemaje!
Anamaanisha wafupi
 
Back
Top Bottom