Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
jipe moyooooooooooooooo
utayashinda................
yana mwishooooooooooooooooo...............
.........................
jipe moyo jipe moyooooooooooo.
Ntamwambia mamkwe wake amchape....hili sredi lina haki ya kuchakachuliwa! Halieleweki. Au NN wewe umemwelewa mleta mada?Si huyo Mwajuma na tabia yake mbaya ya kuchakachua sredi za watu. Hebu mchape ajambe kidogo.
halafu hamisi hamisi hamisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kwa nini watu wengine ni wabahili??? Umeelewa shostito?kuliköni shosti
Hahahaha! Mwambie hasira hasara, atulie, na ajipange sawa sawa tumwage maushauri yetu...ukileta hasira jf utaondoka na kisukari walah tena!
halafu hamisi hamisi hamisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
nyan na husnii siwawezi!
al jununi fununi
Longa MwaJ....
uwendawazimu una aina nyingi.
acha kuchakachua sredi ya watu.
tende halwa halwa wafanana na njiwa weye?
Mchakachuzi mkuu ni Mwajuma Kandambili.
yahe wanchosha kuniletea za kizenji.
Unayo shuzi weye?
wamaanisha shuzi-vumbi la nnya au?
wamaanisha shuzi-vumbi la nnya au?
aah MwaJ una akili chafu wewe. mi naongelea shuzi kiatu bana
duh..!