kwa wakati wako fanya fanya basi kaa ulivofanya majuzi kati
nauza kila like moja yuro 7.
juzi mbona hukuniuzia
najua namna utakavyoilipa bila kujijua. lol
nacheka...
cheka unenepe mtoto wa mwanamke mwenzangu.
nazidi kuchekelea
kicheko chako kinanipigia makelele bwana.
ziba masikio