Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ni wa uswaz mwenzetu ingawa mwenyewe anajiona mzungu.sina maana ya kumchukia wema sepetu, ila nacyomona ni mtu wa kawaida tu kama wengine, kuna mastaa kibao bongo wanaofahamika kwa kazi zao na wanapendwa kawaida tu, Sasa linapokuja suala la wema naonaga anapendwa kwa jinsi alivyo tu,....
Najiona tofauti sana, Hivi wema mnanpendea nini, ???
Pole sana mkuu, niku pm namba yake?Me kasauti kake tu ananikosha kwakweli akiwa anahijiwa kama naangalia kipinde dushe yangu huwa inakua na wakati mgumu sana
Pole sana mkuu, niku pm namba yake?
sina maana ya kumchukia wema sepetu, ila navyomona ni mtu wa kawaida tu kama wengine, kuna mastaa kibao bongo wanaofahamika kwa kazi zao na wanapendwa kawaida tu, Sasa linapokuja suala la wema naonaga anapendwa kwa jinsi alivyo tu kiasi kilichopitiliza..
Najiona tofauti sana, Hivi wema mnanpendea nini, ???
Ni wa uswaz mwenzetu ingawa mwenyewe anajiona mzungu.
Nyota yake inang'araa na anakasauti kazuri kama ulikasikia alipokuwa central polis aliposema "mambo"sina maana ya kumchukia wema sepetu, ila navyomona ni mtu wa kawaida tu kama wengine, kuna mastaa kibao bongo wanaofahamika kwa kazi zao na wanapendwa kawaida tu, Sasa linapokuja suala la wema naonaga anapendwa kwa jinsi alivyo tu kiasi kilichopitiliza..
Najiona tofauti sana, Hivi wema mnanpendea nini, ???
OK mkuu nami kwa mtazamo wangu wema anapendwa na mawifi na shemeji zakeWema anapendwa kwasababu moja kuu..ana kuwa na SKENDO/KASHFA nyingi za mapenzi na anaziruhusu zijulikane.
Akitulia akaacha hizi skendo-skendo za mapenzi, KAMWE wanaompenda hawawezi kumpenda.
Kwaiyo ili azidi kupendwa lazima apore bwana wa mtu.. lazima atembee na mume fulani.. lazima amnyakue kigogo fulani.. lazima kuwe na fumanizi linalomuhusu nk nk.
Tuwe wakweli habari nyingi za namna hii ndio watu wengi wanazipenda.
Lakini let's say Wema atulie tuli.. Hakuna atakaempenda.
Vimbwanga na hasa kashfa nyingi za Mapenzi ndio zinamfanya apendwe.