Hivi kwanini Wema anapendwa?

Anapendwa kila mtu maana siyo mchoyo wa penzi. Ukiwa na vimilioni una 100% ya kumla
 
unauhakika namfahamu kwa media ................. ur very wrong instead dont waste ur energy kuwazia mambo ambayo si ya kweli........
Ni vizuri unamfahamu vizuri, personally. Why hate her?!!!! Hate consumes the soul, let it go. Sipotezi muda, ninao wa kutosha tu! Amekufanya nini?!! Funguka.
 
Anapendwa kila mtu maana siyo mchoyo wa penzi. Ukiwa na vimilioni una 100% ya kumla


milioni yote hiyo?????!!!!!hata laki , anapendwa na watu kwa kua hana poze anachela na kila mtu haswa watu wa chini
 
Kweli mkuu cio kwamba makahaba,majambazi,nk.hawana wazazi tena wngne wametoka familia za kumcha Mungu kbsa!!!nikwaneema tu na kwa ujanja wa binadamu yyte kujiona mkamilifu!!![emoji120] [emoji120] [emoji120]
 

Asante kwa kunisemea na mimi,kula like [emoji817]
 
Kwa sababu ni mama huruma kwa kila mtu akiomba papuchi anampatia.
 

Shangaa kwakweli,Pilipili usiyoila yakuwashia nn
 
Ni watu wa huko kwao ndo wanampenda na watu kariba yake....honestly to me hana kila kitu above all ni empty box....
Kabisa hao wanaompenda ndiyo wanaomfanya avute bangi maana wanamkweza na kumsifia mno kwa vitu asivyokuwa navyo hawajui wanamchanganya.
 
Nadhan ana nyota ya kupendwa, kama ni uhuni mbona bongo movie wengi tu wakina wolper ni wahuni ila hawaongelewi kama yeye?? na wanawake wengi wanaomchukia ni wivu tu unawasumbua...mtu humjui, unamuona kwenye mitandao eti unamchukia ha ha ha!! Binafsi sina star ninaemchukia awe mhuni...teja...jambaz atajijua yeye na familia yake
 
we ulivyokuwa unalambwa lambwa na mabosi wa kwenye mahoteli uliona sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…