Hivi kwanini Wenger hatimuliwi??

KOROE

Member
Joined
Dec 6, 2017
Posts
90
Reaction score
736
Nawaz hapa, huyu mzee ni bure kabisa.. Arsenal inazidi kupotea kwenye raman ya soka, hakuna jitihada zozote za kununua wachezaji wenye akili, timu haina matumain ya kufanya vizuri katika mashindano yoyote.

Nimewaza sana, pamoja na mafanikio duni sana misimu zaidi ya 5 mfululizo lakin huyu mzee yupo tu, kwanini?? Wenzake wakikosea tu timu ikienda ovyo hata kwa miezi tu achilia mbali msimu wanatimuliwa, ila huyu mzee yupo tu...

Mwenye kujua sababu hasa za huyu mzee kutotimuliwa Arsenal afafanue maana hii inanishangaza sana
 
Wamtimue afu timu apewe nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…