Hivi kwanini Yanga hawavai nembo ya mdhamini wa NBC PL?

Hueleweki
Ulianza kusema hawavai tumekuonesha picha.
Saizi umekimbilia kwenye rangi sijui trademark yaani unataka ubishani tu.

Wamevaa au hawajavaa?
Halafu mimi sio dogo sawa janja?
Unaposema logo unahusisha alama zote pamoja na rangi zake. Logo inaposajiliwa kama trademark huwa inahusisha na rangi zake, ndio maana maandishi ya cocacola huwa ni meupe au meusi na nyekundu, sio zaidi. Logo ya Vodacom ni rangi nyekundu, logo ya GSM ni nyeusi na nyekundu kinyume cha hapo ni michongo tu wanaofanya Yanga.

Najiuliza ikiwa Yanga watatinga makundi katik CAF champions league kama watabadilisha ile logo ya Total. Time will tell.

Hoja hii naiwasilisha humu kama kumbukumbu muhimu maana miaka michache ijayo Yanga watashiriki michuano mikubwa Afrika ambako watakuta wadhamini wana rangi blue na nyekundu, Je hawatavaa? Tunaharibu hadhi ya soka letu kwa sababu za rejareja badala ya kutumia weledi na taratibu husika.

Vv
 
Acha kuclemisha wewe kuna club inaitwa Club America ina shiriki ligi kuu Mexico, wanavaa logo ya Huawei na haina rangi nyekundu.

 
Logo ni trademark (imesajiliwa kisheria) huenda Huawei wana logo mbadala, NBC logo yao iliyosajiliwa ina rangi nyekundu

Vv
Huenda..........? Huawei logo yao ni Nyekundu worldwide ,hiyo huenda unalazimisha ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…