kweli binafsi nimewahi sikia sana
sasa kwa taarifa zenu wengi wamesoma
kwa pesa zao, wamesoma kwa sababu zao
wanaume wengi ( si wote) wamezoea kukandamiza
wanawake sasa wakimwona aliesoma wanajaribu kukaa mbali
ndo mahali hizo story za ni malaya sijui hawana adabu , wanaringa
ndo mtakoma trip hii.. kama we ni mwanume haswa acha umbea na
chukua challenge.. hatuana dogo dogo na muacha kutu judge
ju ju tu ... jueni watu kabla hamja fungua midimo. ni aibu mtu anajiita
mwanaume lakini anaongea kama nilivyokuwa nakaanga mihigo kijiweni..
ni hayo tu
asanteni..

hahaha! Afro wangu umenikosha sana,naamini ujumbe ataupata..sina la kuongeza labda tu nimtakie wakati mwema. :nod:
Mamba AD. PuNGUZA MUNKARI
waambie bana! wamezowea, ndo zao hizoHivi ni kwa nini wanawake waliopata nafasi ya kupata elimu zaidi wengi wao wanaongoza kuwa na tabia zisizo nzuri za kimaadili, kama vile mavazi yasiyo ya kimaadili, umalaya. Hatimaye baadhi ya wanaume wameshasema hawataweza kuoa wanawake waliosoma elimu za vyuo vikuu kutokana na wengi wao kuwa na tabia mbaya wanapokuwa katika jamii. Je jf mwasemaje juu ya hilo?