Hivi kwanini?

pepim

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
335
Reaction score
52
Wanajf,naombeni ufafanuzi....Hivi ni kwanini mawanamke huwa anapitiliza siku zake za hedhi? Kuna rafiki yangu mmoja mpenzi wake yamemkuta hayo,leo ni siku ya nne tangu ile tarehe yake aliyoizoea ipite.Nimewasilisha swali.............
 
Tarehe ya kuanza,aiseee!!
 
Kubadilisha mazingira pia husababisha iyo hali
 
sterss, maradhi kubadilisha hali ya hewa au mimba zote sahihi
Wanajf,naombeni ufafanuzi....Hivi ni kwanini mawanamke huwa anapitiliza siku zake za hedhi? Kuna rafiki yangu mmoja mpenzi wake yamemkuta hayo,leo ni siku ya nne tangu ile tarehe yake aliyoizoea ipite.Nimewasilisha swali.............
 
Wanajf,naombeni ufafanuzi....Hivi ni kwanini mawanamke huwa anapitiliza siku zake za hedhi? Kuna rafiki yangu mmoja mpenzi wake yamemkuta hayo,leo ni siku ya nne tangu ile tarehe yake aliyoizoea ipite.Nimewasilisha swali.............

We Pepim wee..si ulianzisha thread kama hii ukisema umeharibu mwezi mmoja uliopita unahisi mjamzito...sasa tena amekuwa rafiki yako? au we na rafiki yako wote yamewakuta?! I hope umepata ushauri wa kutosha kweny hizi thread mbili!
 
mzunguko wa mwezi/siku unakuwa tofauti kwa wanawake tofauti. mostly kati ya siku 21 hadi 35. kawaida kila mwanamke ana mzunguko wake ambao haubailiki sana japo tofauti ya siku 1 au mbili kwa mwezi ni kawaida. angalia baadhi ya sababu ni:
[h=3]- stresses
-tension
-kutumia baadhi ya madawa makali au kahawa kwa wingi
-kutumia dawa yoyote ama kukutana na sumu (hii huwapata wanaofanya kazi kwenye mashamba ya maua zaidi ama sume). hizi hu-disturb corpus luteum function
-kutumia dawa ambazo ni anticoagulant blood thinners (matibabu ha hypertesnion yanaweza husika hapa)
uvutaji wa sigara na pombe kupita kiasi[/h] pia issues kama significant weight gain or loss, over-exercise, breastfeeding, polycystic ovarian syndrome/estrogen dominance, poor nutrition, medications, chemotherapy eating disorders, hormonal imbalance, recent childbirth, miscarriage or uterine abnormalities (fibroids/cysts/polyps/endometriosis)

Kumbuka hii inaweza ikawa dalili za mwanzo za matatizo, ni muhimu kuonana na daktari bingwa wa wanawake ili aangaliwe kiundani na kupata matibabu. afu umuambie huyo rafiki yako awe anampenda dada wa watu manake na chunusi zitafuatia kama anampa stress!

Hey mi ni kidume aise....Niliuliza kwa niaba ya rafiki yangu na mpenzi wake kwa sababu wao co members,ndio yaliyowakumba hayo...Wanatoa shukrani nyingi sana kwa mawazo yenu,na sasa wanalea mimba.
 
Ni hv Riwa,niliuliza swali kwa niaba ya rafiki yangu(Mwanaume) na mpenzi wake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…