Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
CCM wamefika mwisho na TRUMP kakata kamba UN na USAID dadeeeeeeeeeeeekiSteve Mengele (zamani Steve Nyerere) ndio mratibu wa Wasanii kwa Madam nasikia hata viongozi wezi wa fedha za nchi wakitaka kidosho Fulani anaunganisha kwa malipo
Ni aibuSteve yule mfupi mfupi
ndio mratibu wa Wasanii kwa Madam nasikia hata viongozi wezi wa fedha za nchi wakitaka kidosho Fulani anaunganisha kwa malipo
Kwan Trump kukata misaada inampact gani? Si mtaongezewa tu tozo hapo.CCM wamefika mwisho na TRUMP kakata kamba UN na USAID dadeeeeeeeeeeeeki
Nimekuelewa vizuri sana sana Ndugu, Tozo kama zote, dadeeeeeeeeeeeeki tutanyoookaKwan Trump kukata misaada inampact gani? Si mtaongezewa tu tozo hapo.
Kwamba bila Trump na USAID hamna Ccm ?CCM wamefika mwisho na TRUMP kakata kamba UN na USAID dadeeeeeeeeeeeeki
Sio CCM Tu, hata Mwenyekiti wake na uongozi wote. Wamepiga Sana pesaKwamba bila Trump na USAID hamna Ccm ?
Unaongelea marehemu CCM inayotegemea majeshi, watendaji, tume ya uchakachuaji na uzwazwa kuiba kura?Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level? Kweli chama kimetekwa? Je, ni uoga au ni ushamba?
Je, CCM kila nyakati CCM itakuwa chini mtu ambae yuko Ikulu na atafanya kila anachotaka? Je, ni kweli ndivyo ilivyo?
So sad such a massive shame, uncouth behavior.
Perplexed and angry
Pang Fung Mi
Kwan Trump kukata misaada inampact gani? Si mtaongezewa tu tozo hapoCCM wamefika mwisho na TRUMP kakata kamba UN na USAID dadeeeeeeeeeeeeki
Me nilichokua naamini kwa chama ambacho kimeshika dola, kwakua ndo kinaratibu mipango yote na fedha za walipa kodi, promotion yake kwa jamii ilikua ni kupitia:Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level? Kweli chama kimetekwa? Je, ni uoga au ni ushamba?
Je, CCM kila nyakati CCM itakuwa chini mtu ambae yuko Ikulu na atafanya kila anachotaka? Je, ni kweli ndivyo ilivyo?
So sad such a massive shame, uncouth behavior.
Perplexed and angry
Pang Fung Mi
Ni chama kinachojifia/wala usihangaike kufikiri sana/ chama kimezeeka balaa./Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level? Kweli chama kimetekwa? Je, ni uoga au ni ushamba?
Je, CCM kila nyakati CCM itakuwa chini mtu ambae yuko Ikulu na atafanya kila anachotaka? Je, ni kweli ndivyo ilivyo?
So sad such a massive shame, uncouth behavior.
Perplexed and angry
Pang Fung Mi