Aristolicius
Senior Member
- Mar 3, 2012
- 110
- 38
Swali lako la kipuuzi. Kani ukifanya ngono bila kinga hujui matokeo yake ni nini? Na mtoto huwa ni matokeo ya shughuli ya watu wangapi? Mwanaume kamili ni yule anayewajibika kwa matendo anayoyafanya. Kama umemtia binti ujauzito bila ya makubaliano baina yake na wewe huna budi kuwajibika.
Labda wanatumia ile formula ya PMU. Ila Mnamwaga sana mbegu wakulima watapanda nini?
kama mtu ameamua kukutegea hiyo mimba hata hiyo kinga anaweza kumess nayo around kama unataka ndoa mwambie mwenzio kama hataki mpotezee!hata kama akimuhudumia mtoto asipomuoa unafikiri mtt ataenjoy maisha ya single parent?