Hivi kweli huyu Kanoute angeweza kumzidi Chikwende Uwezo?

Hivi kweli huyu Kanoute angeweza kumzidi Chikwende Uwezo?

Ni bora Simba ingetumia gharama kubwa kwa wachezaji wachache wa kigeni wa uhakika hata watano tu kuliko kutumia nafasi zote kumi magarasa matupu.
Ingetumia gharama......
Inakotoka hamtaki kujua, wanao toa hizo hela wakilalamika loss mnasema wanaongea sana.
Hao wachezaji unaowaona ndio mnaendana nao kiuchumi.
 
Mimi nilichogundua ni kwamba wachezaji wa Simba karibu wote ni wazuri sana kwenye plan ya kushambulia tu. Wanakosa ubora kwenye mfumo wa kujilinda.
 
Back
Top Bottom