G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Chikwende Hakuonesha impactWana Simba wenzangu ni swali nauliza Tu...hata kma hawachezi nafasi moja, maamuzi ya kumuacha Chikwende hayakua na tija.
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Kumbuka Chikwende hakupewa muda Ku prove his worth kma alivyopewa Huyu jamaa.Chikwende Hakuonesha impact
Na kanoute so far hajaonesha impact
So anaweza akaachwa pia
likewise [emoji113]Mimi sio simba ila chikwende jamaa alikuwa anajua yule.
Tena yote yaliyokuja yanatia kinyaa hadi Ajib ananyemelea namba zao mkuu!Ni bora Simba ingetumia gharama kubwa kwa wachezaji wachache wa kigeni wa uhakika hata watano tu kuliko kutumia nafasi zote kumi magarasa matupu.
Kweli kabisa mkuuChikwende aliyemleta simba hakuwa na nguvu ya kumtetea but chikwende so worth than kanoute. Mchawi aliyemshika mkono hana nguvu
Ingetumia gharama......Ni bora Simba ingetumia gharama kubwa kwa wachezaji wachache wa kigeni wa uhakika hata watano tu kuliko kutumia nafasi zote kumi magarasa matupu.
Shida Simba ya mwaka jana ilifanya hadi wachezaji Wazuri kama Kahata wakaonekana wa kawaida.Kahata nae ameachwa na simba..
Hivi nani mpya anayemzidi kiwango kahata?
Umenena kweli.Chikwende aliyemleta simba hakuwa na nguvu ya kumtetea but chikwende so worth than kanoute. Mchawi aliyemshika mkono hana nguvu
Simba hawana uwinga kumzidi Chikwende.Chikwende alikuwa anacheza Winga......
Simba wana hiyo shida? Umuache wa nini na asingetumika....
Micquison Tu ndo aliyekuwa anaweza Kumzidi Chikwende ktka mawinga, wengine wte mi mbwembwe Tu.Simba hawana uwinga kumzidi Chikwende.
Sawa.....Simba hawana uwinga kumzidi Chikwende.
Leo umeongea kisoka na sio kishabiki,bravoNi bora Simba ingetumia gharama kubwa kwa wachezaji wachache wa kigeni wa uhakika hata watano tu kuliko kutumia nafasi zote kumi magarasa matupu.