Hivi kweli Katiba Mpya tutapata?

Hivi kweli Katiba Mpya tutapata?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia.

Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka yetu, wamelegea sana. Yaani inasikitisha wanapita wanalamba lips na kubinua makalio. Vijana wameopt kuwa Chawas.

Wadau tutapata katiba mpya kweli kwa kizazi hiki? Si ndiyo basi tena tuhesabu maumivu?
 
Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kupiga nyeto,kubet,kushabikia...
Kwa generation hii its a NO,sifa zao umezitaja hapo juu, ni kizazi cha kulalama humu JF, mara mbona utumishi wanachukua muda mrefu kuita watu!,mara tupeane mchongo wa kiajira uchwara sehemu ni craze, no push back kabisa ni uoga wa kizuzu unaotegemewa kila kitu wapiganiwe,yaani ni generation ya kulishwa na kujifanya ngangari humu kwa IDs fake, generation yangu we almost kumweka mpinzani pale state house, tulimfanya Nyerere arudi kwenye siasa, na tuliokuwepo Mkwawa CNE tutakumbuka ile push back ya principal katili, tulianzia Maghembe by the time anafikishwa Shaaban Robert west ,alishakua kwenye body bag!
 
Usiwe tutusa 90% ya mabaharia walikuwa mashoga

Wewe ulikulia Kibakwe Mpwapwa huwezi kuelewa
Basi nadhani huko ulikokuwepo wewe.... Wewe uliyekulia Mombasa Lamu naona unatetea hayo mambo sana.... Anyway....sikulaumu kama unasema mlikuwa hivyo kwa asilimia 90....hatari sana
 
Basi nadhani huko ulikokuwepo wewe.... Wewe uliyekulia Mombasa Lamu naona unatetea hayo mambo sana.... Anyway....sikulaumu kama unasema mlikuwa hivyo kwa asilimia 90....hatari sana
Wewe unadai Katiba Mpya kwa feki I'd?

Una tofauti gani na jao Kizazi kipya unaowananga hapa?

Haya mambo aongee Mdude Chadema ndio tutamuelewa Siyo Wewe muokota makopo!
 
Kwa hiyo unategemea kuwa katiba mpya CDM wapate madaraka? Watanzania wote wawe na Elimu ya chuo kikuu?ukoo wenu wote wawe matajiri? na Lema awe waziri Mkuu .
 
Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia....
Kwa uliyoyaona ni OUTPUT ya KATIBA mbovu,

KATIBA mpya ni muhimu na ni hitaji la haraka Ili wasije idai Kwa njia mbaya kama mataifa Jirani.

Katiba mbovu imeleta matabaka ktk Elimu na mmomonyoko wa maadili ndomana ikazaliwa Betting Kwa vijana.

Katiba mbovu imetengeza gap kubwa kati ya walionacho na WASIONACHO, jambo Hilo likasababisha waume wazikimbie familia hivyo Kuzaliwa watoto wanaokua wakiona nguo za kike tu vyumbani mwa wazazi wao.

Zamani Shule za Serikali zilitoa Elimu Bora kuliko private sectors, Leo waziri mwigu anatamba kuwa mtoto wake asoma FEZA internationals.

Katiba mpya ni sasa. Aamen
 
Wewe unadai Katiba Mpya kwa feki I'd?

Una tofauti gani na jao Kizazi kipya unaowananga hapa?

Haya mambo aongee Mdude Chadema ndio tutamuelewa Siyo Wewe muokota makopo!
😂😂😂 Tayari umeshaanza kutokwa povu. Kwa hiyo sisi waokota makopo hatuna haki ya Utanzania? Tanzania ni ya Mafisadi peke yake. So wewe jina lako ni John The Baptist? Niliambiwa wewe ni mtu mzima. Why jamaa ameamua kukusingizia jambo hilo? Je alitaka kuwadhalilisha watu wazima? Unamfahamu mzee mgaya?
 
Kwa hiyo unategemea kuwa katiba mpya CDM wapate madaraka? Watanzania wote wawe na Elimu ya chuo kikuu?ukoo wenu wote wawe matajiri? na Lema awe waziri Mkuu .
Umetoka kujisaidia?nawa kwanza. Tena nawa na sabuni. Piga mswaki njoo tuongee..

Katiba mpya haina chama na haihusiani na chama. Itahusu Watanzania wote wenye akili timamu na kujielewa. Elimu si tatizo kubwa. Kuelimika ndo tatizo kubwa.
 
Tutapata lakini haitakua msaada itakua ni silaha tosha ya kuiangamiza Tanzania.
 
Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia.

Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka yetu, wamelegea sana. Yaani inasikitisha wanapita wanalamba lips na kubinua makalio. Vijana wameopt kuwa Chawas.

Wadau tutapata katiba mpya kweli kwa kizazi hiki? Si ndiyo basi tena tuhesabu maumivu?
Makini sana,umetema madini tupu
 
Back
Top Bottom