Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwa generation hii its a NO,sifa zao umezitaja hapo juu, ni kizazi cha kulalama humu JF, mara mbona utumishi wanachukua muda mrefu kuita watu!,mara tupeane mchongo wa kiajira uchwara sehemu ni craze, no push back kabisa ni uoga wa kizuzu unaotegemewa kila kitu wapiganiwe,yaani ni generation ya kulishwa na kujifanya ngangari humu kwa IDs fake, generation yangu we almost kumweka mpinzani pale state house, tulimfanya Nyerere arudi kwenye siasa, na tuliokuwepo Mkwawa CNE tutakumbuka ile push back ya principal katili, tulianzia Maghembe by the time anafikishwa Shaaban Robert west ,alishakua kwenye body bag!Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kupiga nyeto,kubet,kushabikia...
Ndo vijana mliopo wengi kwa sasa... Zamani sisi wakati tunakua ushoga ilikuwa jambo la ajabu sana na aibuHatuli Katiba bwashee
Ndo vijana mliopo wengi kwa sasa... Zamani sisi wakati tunakuwa ushoga ilikuwa jambo la ajabu sana na aibu
Acha maneno.... Haiwezekani. Huwezi kuta mzee anakuwa hivi au ndo wazee wa kizazi kipya? Maana nao ndo wale wale...mbele nyuma, nyuma mbele.Huyo unayemjibu ni mzee wa miaka 60+ na anaitwa mzee Mgaya
Usiwe tutusa 90% ya mabaharia walikuwa mashogaNdo vijana mliopo wengi kwa sasa... Zamani sisi wakati tunakua ushoga ilikuwa jambo la ajabu sana na aibu
Afadhali umemueleza bwasheeHuyo unayemjibu ni mzee wa miaka 60+ na anaitwa mzee Mgaya
Basi nadhani huko ulikokuwepo wewe.... Wewe uliyekulia Mombasa Lamu naona unatetea hayo mambo sana.... Anyway....sikulaumu kama unasema mlikuwa hivyo kwa asilimia 90....hatari sanaUsiwe tutusa 90% ya mabaharia walikuwa mashoga
Wewe ulikulia Kibakwe Mpwapwa huwezi kuelewa
Wewe unadai Katiba Mpya kwa feki I'd?Basi nadhani huko ulikokuwepo wewe.... Wewe uliyekulia Mombasa Lamu naona unatetea hayo mambo sana.... Anyway....sikulaumu kama unasema mlikuwa hivyo kwa asilimia 90....hatari sana
Kwa uliyoyaona ni OUTPUT ya KATIBA mbovu,Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia....
πππ Tayari umeshaanza kutokwa povu. Kwa hiyo sisi waokota makopo hatuna haki ya Utanzania? Tanzania ni ya Mafisadi peke yake. So wewe jina lako ni John The Baptist? Niliambiwa wewe ni mtu mzima. Why jamaa ameamua kukusingizia jambo hilo? Je alitaka kuwadhalilisha watu wazima? Unamfahamu mzee mgaya?Wewe unadai Katiba Mpya kwa feki I'd?
Una tofauti gani na jao Kizazi kipya unaowananga hapa?
Haya mambo aongee Mdude Chadema ndio tutamuelewa Siyo Wewe muokota makopo!
Umetoka kujisaidia?nawa kwanza. Tena nawa na sabuni. Piga mswaki njoo tuongee..Kwa hiyo unategemea kuwa katiba mpya CDM wapate madaraka? Watanzania wote wawe na Elimu ya chuo kikuu?ukoo wenu wote wawe matajiri? na Lema awe waziri Mkuu .
Makini sana,umetema madini tupuKizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia.
Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka yetu, wamelegea sana. Yaani inasikitisha wanapita wanalamba lips na kubinua makalio. Vijana wameopt kuwa Chawas.
Wadau tutapata katiba mpya kweli kwa kizazi hiki? Si ndiyo basi tena tuhesabu maumivu?