Hivi kweli mama zetu ndio wawe watunzaji wa mali zetu? Mnawajua mama zetu walivyo?

Mtoa mada uko na ujinga mingi kuliko ujinga wenyewe, utafikiri ulienda shule kusomea ujinga. Ndio nyie mlikua mnalalamika kwenye math, "ooh hili hatujafundishwa". Kumbe mmezoea kukariri kama histori.

Kijana kafanya kivyake na wewe fanya kivyako. Unaigilizia hadi nukta mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…