Bure kama una bima, tena naona ni cheapest kufungua file 2500, muongozo mpya ni 5000Leo nimeenda Hospital mmoja ya mkoa nimefika pale,nikaulizwa Nina bima ni kasema hapana sasa gharama ni kama ifuatavyo;
1.Kufungua faili -2,500/=
2.Kumuona dakitari-10,000/=
3.X-Ray-15,000/=
4.Mazoezi ya viungo-10,000/=
5.dawa vidonge 14,-7,000/=
6.dawa tubu 1,-7000/=
Je hali hii ndiyo kuchangia matibabu au kulipia matibabu? Tofauti ya private na serikali ipo wapi? Maoni tafadhari.