jamani wapenda na wadau wote wa JF! Jambo moja hunitatiza! hiv kweli kabisa mtu aweza pata mwenzi wa maisha humu au kupitia JF? mimi na naamini wapo wengine wengi tu kama mimi wanaohitaji wenza ila mimi nahofia kama kweli inawezekana kwan wadau naona kama mnanikatisha tamaa hasa ninapoona baadhi hata ushauri wao waliowengi wanapindisha they don't hit to the point. please je inawezekana kweliiiii? ushauri wako nauhitaji tafadhari

Ndo kwanza nasikia wanawake wanapatikana misikitini...Mwenzetu sijui dunia ipi unayo ishii.Ni nini kinakufanya utafute mwenza JF?
makazini,kanisani ,misikitini,sokoni ,club kote wamekosekana?
kama mungu amepanga umpatie jf itakuwa hivyo lakini kama sivyo haiwezekani,jaribu kuelewa kuwa hakuna sehem specific ya kumpata mwenza wa maisha,yaweza kuwa sokoni,club,barabarani,masomoni,hospital n.k ukielewa hivyo haitokusumbua.kama uko serious kumtafutia jf ni uamuzi wako binafsi kwa yumkini ni eneo unaloshinda zaidi na pengine unavyosoma thread za watu unaona wana vitu flan flan utakavyo.bt all in all mtangulize mungu
Wanawake wanapatika kila sehemu, vipi wasipatikane hapa.
Hapa wako wengi tu wanataka kuolewa...sema waendee kwenye private room.
jamani wapenda na wadau wote wa JF! Jambo moja hunitatiza! hiv kweli kabisa mtu aweza pata mwenzi wa maisha humu au kupitia JF ...