Hivi kweli mtu aweza pata mwenzi kupitia jf????

asante kwa comment yako. sinaimani sana na sokoni na club, kwa upande wa kanisani nako pia kunachangamoto nyingi kwani naamini NDOA YA KWELI HAIPATIKANI WALA HAIFUNGWI KANISANI BALI HUFUNGWA MOYONI ie NDOA NI MAKUBALIANO YA WATU WAWILI WANAOPENDANA. HIVYO POPOTE PALE AWEZA PATIKANA ndiyo maana nimeuza km kuna mtu aliwahi kupata mwenza anipe-feedback. YOU NEVER KNOW!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni nini kinakufanya utafute mwenza JF?
makazini,kanisani ,misikitini,sokoni ,club kote wamekosekana?

Mkuu huko ndiko kuna usanii wa hali ya juu!unamkuta mtu yupo bussy kuimba mapambio kumbe ni ma stress tuu yanamsumbua!
 

mwenzi wa kwel wa maisha cdhani kama anapatkana sehem kama hii, na kama ukimpata mtakuwa mnadanganyana tu,
 
ASANTENI SANA WADAU WOTE WA JF KWA ushauri na comments zenu mbalimbali ila ila napenda kujibu baaadhi ya comments hasa kwa upande wa makanisani nowdays wengi huko wasanii tuuuu, I have tried and I'M sure! ndiyo maana nimegundua kuwa true mwenza hapatikani huko ila hupatikana popote ikiwemo na huko makanisani nk kwan mwenzi wa kweli na ndoa ya kweli haifungwi kanisani wala msikitini ila ndoa ya kweli ni makubaliano ya kweli baina ya watu wawili wanaopendana kwa dhati.
 
kama kweli humu wanapatikana basi na mm nitapata humu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…