Hivi kweli mwisho wa mwezi huu ndo mwisho wa dunia?

Hivi kweli mwisho wa mwezi huu ndo mwisho wa dunia?

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Kuna habari nazisoma hapa hata siamini. Eti mwisho wa mwezi huu ndo mwisho wa dunia.

Daa roho inaniuma sana maana ndo kwanza nimempata laaziz wangu wa moyo. Sasa hata sijamshughulikia vizuri halafu eti ndo mwisho wa dunia jamani.

Hilo tisa kumi ni kwamba nataka ninunue ka usafiri. Sasa jamani kama ni mwisho wa dunia itakuwaje tena. Inamaana itafika hiyo siku hata sija drive gari kabisa.

Eee Mungu tuepushe na hii siku. Amen
 
Ha ha ha ha!!
Mkuu mwisho wa dunia hakuna aujuaye ila ni Mungu pekee!!
Gonga demu huyo, nunua usafiri huo!
Life goes on!!
 
Lakin hata ucwe mwisho wa dunia but chakujiuliza mwishowako likni pia ckuzote unaondoka duniani ukiwa na matumaini na malengo ulotaka kuyakamilisha labda nivyema kulidi kwa mungu nakujua kma dunia hata icpo isha mwishoni kwa huu mwez bac kunacku utaichatu
 
Yaa ni kweli kabisa hata mimi kuna mipango nnayo kama nikifanikiwa kuitekeleza nadhani hiyo siku yangu ya mwisho hapa duniani itakuwa ya furaha kwangu kwa maana ntakuwa nimeacha legacy kwa wanaonitumainia.
 
Mwisho wa mwezi mbona bado mbali?? Mshughulikie sasa hivi kama hakuna kesho vile
 
Hizi ni habari za uongo, mwisho wa dunia anajua Mungu mwenyewe. Sayari X iko umbali wa maili bilioni 60 na ni ya mwisho kwenye mfumo wa jua kupita Pluto. Fanya maisha.
 
Back
Top Bottom