Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Yaa ni kweli kabisa hata mimi kuna mipango nnayo kama nikifanikiwa kuitekeleza nadhani hiyo siku yangu ya mwisho hapa duniani itakuwa ya furaha kwangu kwa maana ntakuwa nimeacha legacy kwa wanaonitumainia.Lakin hata ucwe mwisho wa dunia but chakujiuliza mwishowako likni pia ckuzote unaondoka duniani ukiwa na matumaini na malengo ulotaka kuyakamilisha labda nivyema kulidi kwa mungu nakujua kma dunia hata icpo isha mwishoni kwa huu mwez bac kunacku utaichatu