Nimetafakali kwa kina nikajiuliza hivi tarehe 24 boko anaweza pata clear chance akaweka mpira kambani ili sisi watanzania tusiende misri? Je Juko Mushidi anaweza kukomaa kwelikweli pale nyuma ili Simon Msuva au Samatta asifunge goli? Nafikili awawezi maana wale ukizingatia na mafanikio wanayoyapa wakiwa simba wameishaiona Tanzania kama nchi yao. Labda kama Uganda angekuwa bado hajafuzu hapo ningesema sawa ila kwa hali ilivyo labda kocha awaweke bechi lkn wakianza ndani tegemea mashuti yote ya Okwi yatakuwa off target na Yuko murshid siku hiyo anaweza kujifunga kabisa.