balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hayakuhusu,fata yako.Baada ya Billnass na Nandy kuoana na kuisimamisha nchi,watu wanauluza,mbona hakuna ndoa ya mwanasimba imewahi kuisimamisha nchi? Kama yupo niiteni nimekaa pale.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Aisee!Baada ya Billnass na Nandy kuoana na kuisimamisha nchi,watu wanauluza,mbona hakuna ndoa ya mwanasimba imewahi kuisimamisha nchi? Kama yupo niiteni nimekaa pale.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Chuo cha kuzalisha wajinga huko Yanga kinatoa wahitimu wenye weledi sanaPost za kijinga hizi
Na wewe olewa na mwana Yanga mwingine ili uzidi kuwaumiza SimbaBaada ya Billnass na Nandy kuoana na kuisimamisha nchi,watu wanauluza,mbona hakuna ndoa ya mwanasimba imewahi kuisimamisha nchi? Kama yupo niiteni nimekaa pale.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Amemiss kupelekewa [emoji91]Jamaa analalamika anataka kuolewa!