Hivi kweli Tanzania tuko serious na maandalizi ya AFCON? Kwa Mkapa panakarabatiwa? Arusha kuna hata jiwe limewekwa? Dodoma?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Najiuliza tu, kama kweli kuna umakini katika hili, mbali na katibu mkuu wa wizara kukesha gym na mitandaoni, sioni alichokifanya katika Wizara, ni mambo ya status quo ante.

Arusha na Dodoma, tuliambiwa watajenga viwanja, kuna dalili?.

Naona Rwanda anakarabati na kujenga viwanja kama vile kuna kitu amekiona kitatokea, akapewa yeye nafasi.
 
Tuliza wenge 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/WizaraSanaa/status/1818507482076946774?t=PZNsvCswJ47dkGhie9dYpA&s=19
 
Najiuliza tu, kama kweli kuna umakini katika hili, mbali na katibu mkuu wa wizara kukesha gym na mitandaoni, sioni alichokifanya katika Wizara, ni mambo ya status quo ante.

Arusha na Dodoma, tuliambiwa watajenga viwanja, kuna dalili?.

Naona Rwanda anakarabati na kujenga viwanja kama vile kuna kitu amekiona kitatokea, akapewa yeye nafasi.

Nchi yetu hii ina mambo mengi sana. Labda hatutaki kuwa wenyeji
 
Kuna jambo litatupata na tutaaibika., nashangaa mechi za ufunguzi afcon 2027 kufanyika Kenya! Hii ni kujidharirisha.
 
Back
Top Bottom