Tuliza wenge ππππNajiuliza tu, kama kweli kuna umakini katika hili, mbali na katibu mkuu wa wizara kukesha gym na mitandaoni, sioni alichokifanya katika Wizara, ni mambo ya status quo ante.
Arusha na Dodoma, tuliambiwa watajenga viwanja, kuna dalili?.
Naona Rwanda anakarabati na kujenga viwanja kama vile kuna kitu amekiona kitatokea, akapewa yeye nafasi.
Najiuliza tu, kama kweli kuna umakini katika hili, mbali na katibu mkuu wa wizara kukesha gym na mitandaoni, sioni alichokifanya katika Wizara, ni mambo ya status quo ante.
Arusha na Dodoma, tuliambiwa watajenga viwanja, kuna dalili?.
Naona Rwanda anakarabati na kujenga viwanja kama vile kuna kitu amekiona kitatokea, akapewa yeye nafasi.
Haya mbona kama madarasa ya shule ya msingi Muheza?Tuliza wenge ππππ
View: https://twitter.com/WizaraSanaa/status/1818507482076946774?t=PZNsvCswJ47dkGhie9dYpA&s=19
Haya mbona kama madarasa ya shule ya msingi Muheza?