Hivi Kweli Tunakijua Kiswahili?

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2009
Posts
4,354
Reaction score
1,010
Wana bodi,

Nimekutana na hii kule FB, kuna Kundi moja linaitwa "TANURU LA FIKRA" Kwa kweli kwa maoni yangu hili kundi linapaswa kuwa "TANURU LA VILAZA" Maana ukipita katika mawazo ya wana kundi utgundua shida kubwa sana! Huna nawaza ina maana yale tuyaonayo kama matatizo ya Elimu nchini ndo yametufikisha hapa?!!!

Ona katika sentenso zifuatazo shida iliyopo...Nanunkuu... "Unafikiri kwanini mwalimu Nyerere hakuwa na malinyingi kwasababu ya uwadilifu? Au! Muda hule kipato kilikuwa kidogo? Ni kiongozi gani anae fanana na mwalimu kwa sasa" Mwisho wa nukuu.

Kweli bado tunalia Kingereza ni kigumu, hivi kweli na Kiswahili tunakijua?

Tujadili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…