Hivi kweli uchumi wa MArekani na dunia ilikuwa imechungulia kaburi?

Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Posts
3,713
Reaction score
889
Jamani nimepata ripoti hii ambapo mbunge wa Marekani anaeleza jinsi uchumi ulivyoyumba Septemba mwaka jana, kama ni kweli basi inatisha sana!

Food for thought. Let the debate begin.....
 
Kwa maoni yangu, hali bado ni mbaya hasa ukichukulia kwamba Marekani ambayo ni engine ya uchumi wa dunia sasa hivi ina deni la nje la $10.4 Trillioni (wakati Kichaka anaingia madarakani deni hili lilikuwa ni $5 Trillioni) na budget deficit ya $700 Billioni (wakati kichaka anaingia madarakani kulikuwa na budget surplus.) Hii stimulus package ya $800 billioni labda inaweza kusaidia kupunguza watu kuachishwa kazi na pia kuwawezesha makampuni makubwa,madogo na individuals kupata mikopo ili kuiongeza tena demand ya bidhaa (consumer goods) mbali mbali ambayo sasa hivi imeanguka vibaya sana.

Wataalamu wa uchumi wanadai kwamba kama stimulus package ya Obama haitaongeza economic activities basi recession inaweza kuwa hata ya miaka 4 au zaidi na hivyo kumfanya Obama awe Rais wa awamu moja tu. Kusema kweli hali inatisha.
 

Ni kweli Bubu, inaweza kuwa kweli lakini pia kuna kajielement cha panic na everybody ana-panic, I think that is the lesson we can draw from this report. When too many people panic and believe that the sky is falling, they might really create a situation that will have dire consequences.
I think also the banking sector has to restrucutre itself and become creative ditto for the entire financial sector.
Stimulus package ya Obama itasaidia kwa kiasi lakini sidhani kama itatatua matatizo on the short term. Hii ingeweza kuwa nzuri kama pia kuna will on the part of financiers to reform themselves, but they want the same old tired ways. In fact kuna article moja nzuri sana nilisoma katika Economist, where they explained that hii subprime mortgage is not a very new invention na walishawahi ku-experiment but banks were more cautious in the 80s (I think). Sijui kama article hiyo ipo online lakini nikiipata nitaibandika hapa.
But what I digress: I wanted to say that the problem with the credit crunch is that it is creating ripples in all the sectors, and right now, some of the lay offs are not because of current dire economic situations but it is employers fear of the future. Which is their right but there is a level of panic. And it hits the people very hard. Unemployment is a huge threat for the US, just like everywhere else.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…