Jamani wana JF naomba mnisaidie hivi kweli hawa wenzetu huko bungeni wako serious na kupata katiba mpya kwani mpaka sasa ni mabishano tu utadhani kuna wahuni kumbe ni watu wazima wenye busara but I HATE WHAT THEY ARE DOING kwani hela za walipa kodi zinateketea wao warumbana<mnalionaje hili jamanikweli katiba itapatikana??:nimekataa