Hivi kweli wema ndio anaelekea ukingoni?

Mim tangua arudi ccm amenitokaa ata kumpost nmesahau ata cna uo mpango wakt nlikua kiherehere wa kwanza kumpost kila akipot picha mpya
Duh Leo kumepoa yaani
 
Naomba unifundishe Enlish japo nami niweze kusalimia wadogo zangu home karuchi
Wema alitakiwa awe mbali sana sana.

But I guess the fame that came at such a tender age overwhelmed her.

The people around her didn't do much to help her bask in her glory more than 10 years down the line, or play her cards right.
 
Wakati ukuta

R.I.P shaban Robert
 
Kilichomfubaza wema ni kujihusisha na siasa..watu walianza kumregard kama wanasiasa wengine wa kawaida tu..

Unajua ukitengeneza brand kwa msingi fulani unatakiwa kuilinda hiyo brand kwa msingi huohuo maana ndo ambako watu wanakujulia na kukukubali. Usiwayumbishe mashabiki kwa kuchanganya brands bila mikakati madhubuti ya kuilinda ile ya mwanzo...

Kikawaida siasa zina sifa ya kugawa watu. Hivyo unajikuta unagawa mashabiki wengine wanakuchukia huku wengine wanakudharau, etc
 
wema ziwa km furushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…