Hivi kweli?

Kumbe bado kuna wanaume wana vaa pichu mpaka sasa licha ya boksa kuwa nyingi wana vaa pichu za kiume na mstari unatokezea kwenye suali kabisa
Dahh!!umenikumbusha mbalii sana, Mabibo hostel, pale block F kulikuwa na Father mmoja kila Saturday lazima aanike vyupi na vesti nyeupe kamba nzima alafu ni size kubwa
 
Dahh!!umenikumbusha mbalii sana, Mabibo hostel, pale block F kulikuwa na Father mmoja kila Saturday lazima aanike vyupi na vesti nyeupe kamba nzima alafu ni size kubwa

Aibu ase [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ningeemda kuchoma moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…