Hivi kwenda bar au club ni uhuni???


Wakati nasoma kichwa cha habari kuhusu hii thread...swali langu la kwanza nililotaka kuuliza ni hilo "uhuni ni kitu gani?"
 
Anachart na simu? Kwanini hukumnasa kibao? Ungemnasa kibao angetambua kosa lake na asingerudia tena.

Tukija kwenye thread, to me kwenda club au bar sio uhuni ni kula gudtime tu

Inategemea unaishi kijiji gani! Jumapili kwenye ibada nilikaa na mdada kanisani yuko busy anachat kwenye bbm!
 
I'm neither a grammarian nor grammar police but your grammar and syntax suck.
You guy, nilikwambia jana kuwa I dont need to go into the rules of English before posting anything in this forum. Sina haja ya ku-proof read as long as my message is understood. Typing error and oversights are minor when making a post here. Nimekwambia mimi ni pure scientist hatujifunzi lugha!!! penguin!!!
 


hakuwa na tabia hiyo, bali alianza kwenda bar/club baaba ya kuwa ameachwa..........
 
kujibu swali la thread
hivi kaka yako akija kukwambia amepata mchumba alipoenda club/bar
uta react vipi?
 
Anachart na simu? Kwanini hukumnasa kibao? Ungemnasa kibao angetambua kosa lake na asingerudia tena.

Umnase kibao imekuhusu na kitu gani?

Kosa lake ni lipi hata alitambue akinaswa kibao? Sana sana angetambua kosa lako wewe la kuingilia uhuru wake binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…