Hivi kwenda bar au club ni uhuni???

Kwa maelezo haya sasa nimekufahamu mito.
 
Last edited by a moderator:
Du ! Binafsi nikimkuta dada yangu club sijisikii amani sababu najua club ina mazingira hatarisha , tena sana tu.
Nikisikia gf wangu ameenda club na kampani isiyoeleweka , nami siwezi kumuelewa sababu najua nini kinaweza kutokea
club.
Hivi vile vishawishi vyote vya ngono vilivyopo club , halafu tuendelee kuona ni sehemu salama , lets be serious jamani sote tunajua nini mara nyingi kinatokea after party
 

KWENDA bar au KWENDA kilabuni ni uhuni au la, hilo sijui. Coz neno MHUNI laweza kuwa na maana zaidi ya moja. Wengine humwita bachelor kuwa mhuni, and so on, and so forth. Tunachoweza kuangalia ni je, sheria ya nchi inaruhusu, au inazuia KWENDA bar au vilabuni? Au je, Maandiko Matakatifu (ambayo ni sauti ya Yehova Mungu) yanasemaje kuhusu maelezo ya mleta mada, kwamba pale kilabuni au mle ndani ya bar watu wanamtukuza Yehova? i.e. matendo yao yanaonesha kwamba they are created in the image of God?
 
inategemea anaenda kwa kufanya nini inaweza kuwa uhuni kama anaenda kutafuta wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…