Hivi kwenye jela za Tanzania kuna raia wa haya mataifa ?

Hivi kwenye jela za Tanzania kuna raia wa haya mataifa ?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,072
Reaction score
12,119
Kama kichwa kinavyosema , je kwenye jela za Tanzania hapa kuna raia wa hizi nchi wanaotumikia kifungo?
1.Marekani
2.uingereza
3.Canada.
4.Saudi Arabia
5U.A.E
6.N.K
Tafadhalini naomba mnijuze,
Lengo la kuuliza hivi ni.kwa sababu kuna kautafiti kangu binafsi nafanya😊
 
Hakuna ngozi nyeupe jela labda awe Albino.
 
Tumuulize Waziri ama kamishna wa magereza nchini
 
7. Nilisahau na Israel 🤣
 
Nadhani hata kama wana hatia huwa wanaachiwa kimya kimya! Lakini ngoja Afisa magereza waje kutuambia.
 
x.jpg
 
Back
Top Bottom