Hakuna ngozi nyeupe jela labda awe Albino.Kama kichwa kinavyosema , je kwenye jela za Tanzania hapa kuna raia wa hizi nchi wanaotumikia kifungo?
1.Marekani
2.uingereza
3.Canada.
4.Saudi Arabia
5U.A.E
6.N.K
Tafadhalini naomba mnijuze,
Lengo la kuuliza hivi ni.kwa sababu kuna kautafiti kangu binafsi nafanya😊
Raia wa nakadhalika ndio raia gani hao?
Namba 6Raia wa nakadhalika ndio raia gani hao?
Unawashwawashwa na unataka Nikukune?