Kwa mujibu wa master j, kuwa zamani walikuwa wanarecord kwa hela nyingi sana tofauti na leo ambapo kwa dar hata ukiwa na elfu 50 nawewe unakuwa na wimbo, so kwa wale maproducer waliokuwa wanatoza hela nyingi hawawezi kutoka mfano kwenye kutoza milion hadi kwenye laki 1 au 2 hivo wameamua kuacha ila wanafanya kazi za kuandaa matangazo tu, mfano kama yale ya voda, tigo, na mengineyo, pia wanajihusisha na biashara zingine za mjini
Aliwataja maproducer hao kuwa ni pamoja na marco chali, lamar, majani na wengine waliokuwa wanawika zamani