Hivi Laptop ambayo haina KEYBOARD LIGHT naweza kuwekewa

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Heading imemaliza swali langu.

Ni laptop aina ya HP Envy x360 15-aq005na
 
Laptop nyingi zinakuja bila keyboard backlight, hii haimaanishi kwamba laptop haiSupport keyboard yenye backlight.

Keyboard ndio mara nyingi inakuwa na backlight au inaweza isiwe na backlight , nimeona laptop nyingi zenye option ya keyboard backlight connector kwenye motherboard ingawa keyboard haikuwa na backlight.

Conclusion. Ni kwamba itoe hiyo keyboard halafu angalia kwenye motherboard kama kuna connector ya backlight (huwa ndogo nyenye njia kama 4) . Kama ipo basi tafuta keyboard yenye backlight.
 
Mie sio fundi mkuu kujua yoe hayo ila kabla sijaenda kwa fundi nataka ABC kuona kama inawezekana

Maana kuna sehemu nimeona mtu anauzi keyboard yenye backlight ni nikajiuliza kumbe hata yangu naweza kufanya hivyo??
 
Back
Top Bottom