EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Wazungu wako ahead sana! Anatengeneza kifaa ila anaacha auxilliary connectors unashangaa computer ya miaka 10 nyuma ila inaweza wekwa backlight keyboardLaptop nyingi zinakuja bila keyboard backlight, hii haimaanishi kwamba laptop haiSupport keyboard yenye backlight...
Mie sio fundi mkuu kujua yoe hayo ila kabla sijaenda kwa fundi nataka ABC kuona kama inawezekanaLaptop nyingi zinakuja bila keyboard backlight, hii haimaanishi kwamba laptop haiSupport keyboard yenye backlight.
Keyboard ndio mara nyingi inakuwa na backlight au inaweza isiwe na backlight , nimeona laptop nyingi zenye option ya keyboard backlight connector kwenye motherboard ingawa keyboard haikuwa na backlight.
Conclusion. Ni kwamba itoe hiyo keyboard halafu angalia kwenye motherboard kama kuna connector ya backlight (huwa ndogo nyenye njia kama 4) . Kama ipo basi tafuta keyboard yenye backlight.
Mkuu pole na ban, yule jamaa aliyekusababishia mpuuzi sana.Wazungu wako ahead sana! Anatengeneza kifaa ila anaacha auxilliary connectors unashangaa computer ya miaka 10 nyuma ila inaweza wekwa backlight keyboard
Asante mkuuMkuu pole na ban, yule jamaa aliyekusababishia mpuuzi sana.
Mkuu ulitiwa nyavuni??Asante mkuu
Yeah mda mrefu hukuonMkuu ulitiwa nyavuni??
ID ipi hio meko π mi ID yangu ni hii tuile ID ya pili naona ishawekwa kapuni sasa π π
Pole sana MkuuYeah mda mrefu hukuon
Asante mkuuPole sana Mkuu